SEHEMU YA 2: Usiku wa Siri Ndani ya Jiji la Roma:

Siri za Nyaraka za Sura za UpapaIli kuelewa jinsi mamlaka hii inavyofanya kazi, ni lazima kurejea nyuma katika historia kwenye mfumo unaoitwa Papal Bulls (Nyaraka Rasmi za Upapa). Hizi zilikuwa sheria na amri zilizotolewa na Mapapa wakati wa enzi za kati (Middle Ages), ambazo ziliweka misingi ya sheria zote za kimataifa tunazozitumia leo.Moja ya nyaraka muhimu zaidi katika historia hii ni ile iliyotolewa na Papa Boniface VIII mnamo mwaka 1302,…