SEHEMU YA 13: Cheti chako cha Kuzaliwa na Umiliki wa Vatican
Katika mifumo yote ya usajili wa kijamii na kisheria duniani, cheti cha kuzaliwa kinachukuliwa kuwa ni nyaraka ya kawaida kabisa ya kiserikali inayothibitisha tarehe, mahali, na wazazi wa mtoto. Hata hivyo, unapoingia katika ngazi ya juu ya sheria za kimataifa za mikataba, sheria za kibenki, na sheria ya kanisa ya Roma ( Canon Law ), cheti cha kuzaliwa kinabeba siri nzito zaidi. Kisheria, nyaraka hii inasimama kama mkataba wa kibiashara unaoingiza utambulisho wa mwanadamu ndani ya mfumo mkubwa wa…