SEHEMU 16: JINSI ARDHI ZOTE DUNIANI ZILIVYOWEKWA CHINI YA KITI CHA ENZI
Ikiwa Hati ya Upapa ya Unam Sanctam ya mwaka 1302 iliweka msingi wa kiroho na kisheria kwamba kila kiumbe na kila rasilimali duniani ni mali ya Kiti cha Enzi cha Roma, Sehemu hii ya 16 inafichua jinsi nadharia hiyo ilivyogeuzwa kuwa uhalisia wa kijiografia. Hapa ndipo tunaposhuhudia jinsi mistari iliyochorwa kwa wino juu ya karatasi za ngozi kule Roma ilivyogeuka kuwa minyororo ya kisheria inayoshikilia ardhi zote unazozijua leo—kutoka mabara ya Amerika hadi misitu na madini ya Afrika.Mwishoni…