SEHEMU 24: AKAUNTI NAMBA ZERO: PESA ISIYO NA JINA
Baada ya kuchunguza ushirikiano wa siri na familia ya Rothschild katika Sehemu ya 23, sasa tunashuka hadi kwenye kiini cha mifumo ya kidijitali na kompyuta za Benki ya Vatican (IOR). Hapa ndipo tunapokutana na chombo cha siri cha kifedha ambacho kimetajwa na wachunguzi wengi wa mambo ya kijasusi kama "shimo jeusi la kifedha la dunia": Akaunti Namba Zero (Account Number Zero) .Katika mifumo ya kawaida ya kibenki duniani kote, kila akaunti lazima iwe na jina, namba ya pasipoti, kampuni iliyosajiliwa, au…