Sehemu 31: Mabalozi wa Papa (Nuncios) na Nguvu ya Ujasusi

Wakati mataifa makubwa duniani kama Marekani na Urusi yakitegemea mashirika kama CIA na KGB (au FSB) kulinda maslahi yao, Kiti cha Enzi cha Roma (Holy See) kinamiliki mfumo wa kijasusi na kidiplomasia ambao ni miongoni mwa mifumo ya kale na imara zaidi katika historia ya mwanadamu. Tofauti na majasusi wa kisasa wanaotumia silaha au teknolojia ya satellite pekee, Vatican inatumia mtandao wa kipekee wa kidiplomasia unaoongozwa na Mabalozi wa Papa , wanaojulikana rasmi kama Nuncios (Apostolic Nuncios).Hawa si mabalozi wa…