KIBIRITINGOMA

KIBIRITINGOMA

ongoing
297

Views

1

Rates

2

Chapters

Categories

Biashara Maisha Mapenzi Mystery Ujasusi Komedi

Anaitwa Frola, Mitaa ikampa jina la Bebe. Mungu alipomuumba kama mwanamke, akamuongezea na tunu ya kuwa mrembo. Urembo wake ukamtokomeza kwenye ukahaba, baadaye ukamuopoa huko …