Kuna haja ya kumuita Shemeji
Hamza mara baada ya Regina kukubali Irene kujifunza nishati za mbingu na ardhi , aliweza kuelewa alichokuwa akifikiria , kwa Regina pia aliijihisi alikuwa mtoto wa nje ya ndoa vilevile , hivyo asingeweza kumchukulia Irene kama wa nje, ama kujiona yeye ni wa tofauti zaidi.
Kingine Regina alikuwa mwenyewe na kama angetaka kurudi nyumbani kwenye asili yake asingemtegemea yeye peke …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments