Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

EMAIL: [email protected]

WHATSAPP: 0621567672

AGE: 18+

SEHEMU YA AROBAINI NA MBILI

"Kama ni hivyo maana yake ni yeye pekee ambaye Ashrafu anaweza kumsikiliza?"

"Hilo ni jibu sahihi Ashrafu anamsikiliza yeye tu hapa duniani lakini mdogo wangu ndo hawezi kukusikiliza maana anampenda Ashrafu kuliko kitu chochote kile"

"Tunaweza kumtumia yeye bosi akatusaidia kwenye hili"

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next