HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA AROBAINI NA SITA
Akiwa anatembea na gari yake alishtuka baada ya gari hiyo kuyumba nusura idondoke na kama ingekuwa kwenye mwendo mkali basi ingedondoka kabisa chini. Alishuka na kuangalia akagundua kwamba upepo ulikuwa umeisha upande mmoja ila wakati anashangaa aligundua kwamba ni risasi ilikuwa imepita …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments