HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA AROBAINI NA NANE
"Na vijana ambao nilikuwa nahitaji uniletee umekuja nao?"
"Ndiyo mkuu, nimekuja na wanaume wa kazi haswa sita"
"Safi mimi na wewe tutapanga muda mzuri wa kuweza kuonana ila hakikisha kwanza kesho unakutana ana kwa ana na vijana wote wakujue ili ujue …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments