HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA AROBAINI NA TISA
Mlinzi alisogea getini kwa kasi akiwa na silaha yake mkononi, ni wazi aliyegonga alimpa hasira sana kukosa ustaaarabu hivyo alifungua kwa hasira ili kumkomesha mtu huyo lakini baada ya kufungua hakuona mtu hivyo aliishia kusonya kwa hasira sana.
"Kuna nini huko David?" …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments