“Dogo , uko sawa sasa?”Aliuliza Hamza na kumfanya Irene kugeuka na kutingisha kichwa akiwa na furaha.
“Niko sawa , Mejaraha yangu yote yamepona m sijisikii maumivu yoyote. Hamza bibi ashaniambia kila kitu. Siamini dada yangu kanipa hata damu yake , nimeguswa mno”
“Unaonekana kuwa na furaha sana?”Aliuliza Hamza na Irene alicheka.
“Ndio! Nina furaha tunakwenda kuwa familia”
Hamza alijikuta akikosa usemi. Msichana huyo uelewa wake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments