Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

EMAIL: [email protected]

WHATSAPP: 0621567672

AGE: 18+

SEHEMU YA HAMSINI NA NNE

"Hahahah hahahah hahah noooo hili haliwezekani"

"Na huyo brigedia ndiye njia pekee ya kumpatia Remy" mheshimiwa alisimama na kucheka sana baada ya kuambiwa hayo maneno.

"Haya mambo yanawezekanaje?"

"Bosi anaonekana ana mambo mengi sana ambayo anayajua ila hataki kuutoa ukweli wote …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next