HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA HAMSINI NA SITA
Wakati msafara wake unafika Chalinze, walipishana na gari ambazo zilikuwa zinaenda njia ambayo wao walikuwa wametokea, zilikuwa ni gari mbili za gharama na zenye vioo vyeusi tii zikiwa kwenye mwendo mkali kuliko hata msafara wake lakini hawakuzitiilia sana maanani kwa sababu ulikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments