HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA SITINI NA MOJA
"Unataka kuniambia wewe ndiye mtoto wa...."
"Mpaka hapo ulisha nifahamu kwamba mimi ni nani hauna hata haja ya kuendelea. Mimi ndiye mtoto wa huyo mtu ambaye aliwapa nyie maisha lakini baadae mkaamua kumkataa na kumuua na sio kumuua tu mkaamua kuua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments