HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA SITINI NA NNE
"Kwa mara ya kwanza nilimuona baba yako akiwa na mawazo sana kwa sababu kesi ilikuwa kubwa na kimbilio lake lilikuwa ni mimi hapa asijue kwamba mimi ndiye nilikuwa nammaliza taratibu kwa sababu nilikuwa najua kila kitu. Siku moja ilitoka habari mbaya zaidi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments