HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA SITINI NA TANO
"Na hiyo kampuni kwa sasa mmiliki wake halali ni nani?"
"Kisheria bado mmiliki ni baba yako na wewe hapo"
"Whaaaat?"
"Mali nyingi za baba yako alikuwa anajiandikia yeye na wewe hivyo kisheria hii kampuni ni yako"
"Kwa vigezo gani?"
"Ukitoka hapa nenda …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments