HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA SITINI NA SITA
"Unamaanisha nini kusema dada yangu?"
"Ahhhh Maria hizi sio zama zile za kutudanganya tena, najua kwamba mkurugenzi wa usalama wa taifa ni dada yako"
"Hapana, huyo mwanamke mimi sijawahi hata kukutana naye"
"Hilo nalijua kwa sababu hata yeye ana stori kama zako …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments