HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA SABINI NA MOJA
Anelia alinyanyuka baada ya dakika mbili nzima kuona kimya, alimsogelea kijana huyo na kushangaa kwamba alikuwa ameshakufa tayari kwa ile risasi ya kichwa hivyo akawa anatoka kwa tahadhari sana akiwa na bastola yake mkononi. Aliangaza kila sehemu lakini hakuona dalili ya uwepo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments