SEHEMU YA 266.
Katika macho ya Hamza , ngumi alizokuwa akirusha Jambo Kubwa zilikuwa za taratibu sana. Hamza alikuwa akijua asilimia kubwa ya wanajeshi ambao hawakuwa na haja ya kuingia vitani , lakini walikuwa na nguvu za nishati ya mbingu na ardhi kuna kitu muhimu wanakosa.
Katika vita ambavyo yeye alipitia , ilikuwa ni hatari sana na alipata kujifunza mengi zaidi katika hali ya kikatili …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments