HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA SABINI NA SITA
"Bruno Josephat alishakufa"
"Nani kamuua?"
"Nilienda kumchukua kule gerezani baada ya kusikia kwamba alipokutana na wewe ndipo ukapotea nikaenda kumhifadhi makao makuu lakini kwa bahati mbaya sana baada ya kuonana na raisi alikutwa akiwa amekufa pamoja na Luka Gambino mkuu wa lile …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments