Masaa mawili kama na nusu hivi mbele , Regina alikuwa ndani ya kituo cha kulelea watoto Yatima cha Friends of orphans au Urafiki Morogoro
Wakati anafika ndani ya kituo hicho ilikuwa ni saa tisa kwenda kumi na kulingana na ratiba ya kituo watoto wengi ulikuwa muda wao wa kulala baada ya kutoka darasani.
Regina alitumia kumbukumbu za wakati alipofika hapo na Hamza na mara baada …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments