Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

EMAIL: [email protected]

WHATSAPP: 0621567672

AGE: 18+

SEHEMU YA THEMANINI NA TATU

"Kwahiyo unahisi niliwachukua ili nikawaue mwenyewe?"

"Siwezi kukuamini kuhusu hili na kumbuka kabisa nilikwambia kwamba sitakusamehe kama hili likitokea. Unahisi itakuwaje kama wananchi na raisi watapata habari hii? Nitakuwa kiongozi wa namna gani? Cleopatra ni vyema ukaandaa sababu za msingi ambazo zitanifanya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next