HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA THEMANINI NA TANO
"Ni kweli baba yako alikuwa usalama wa taifa na sio baba yako tu bali baba yako na mama yako wote wawili"
"Na kipi kilitokea?"
"Huko nyumba kulikuwa na matukio mengi sana mabaya ya kutisha ambayo yalikuwa yanatokea kama mauaji, usambazaji wa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments