Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

EMAIL: [email protected]

WHATSAPP: 0621567672

AGE: 18+

SEHEMU YA THEMANINI NA SITA

"Haya mambo hayanihusu sasa mnanihusishaje nayo?"

"Kwa sababu anahitaji msaada wako na anakupenda sana"

"Mimi natafutwa sana kila kona, nina kazi ngumu sana ya kuwasaidia watu wawili ambao mpaka sasa sijui wako wapi na bado unaniambia kwamba anahitaji msaada wangu?"

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next