HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA THEMANINI NA SABA
Ni simu ambayo ilimchanganya sana mheshimiwa, simu ambayo iliufanya moyo wake uende kwa spidi mno kiasi kwamba alihisi nafsi yake inaweza kumtoka. Alikuwa anampenda sana mwanamke huyo hasa baada ya kufanikisha kumzalia watoto mapacha na mwanamke mwenyewe alikuwa mrembo sana kuliko hata …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments