Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

EMAIL: [email protected]

WHATSAPP: 0621567672

AGE: 18+

SEHEMU YA THEMANINI NA NANE

"Utatukabidhi nchi kivipi?"

"Naenda kumuua raisi"

"Bwana mdogo ni kitu gani ambacho kinakupa sana dharau kiasi hiki?"

"Fuata niliyo kuelekeza na kama huwezi basi utakosa kila kitu kwenye maisha yako kisha ujue ni kwa namna gani haya mambo yanafanyika. Nchi itabakia kwenu …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next