HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA TISINI NA MOJA
"Kuhusu Robert ni habari mbaya sana, huyu alifanikiwa kuishi siku ile tunaua familia yako na sikuwahi kujua hili alivyo potea nilijua ameuliwa sehemu nyingine hivyo nikapotezea lakini baadae nilikuja kugundua kwamba yupo Arusha baada ya kamera moja ya hoteli kunasa sura yake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments