HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA TISINI NA MBILI
Alikuwa amerushwa mbali kidogo lakini alijivuta mpaka akasimama vizuri na kukiweka vyema kifua chake. Alisogea akiwa anatembea kuelekea alipokuwepo Justin, mwanaume huyo alijipinda kwa sarakasi ya pembeni na buti zake zikaishia kwenye mikono ya Ashrafu lakini hakuzubaa kwani ni wakati ambao aliiachia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments