HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA TISINI NA SITA
"Watu wengi wanakuwa hivyo pale ambapo wanahisi kudhulimiwa haki zao za msingi, unajua wanadamu wengi huwa wanazaliwa wakiwa na roho nzuri sana ila roho mbaya huwa wanazikuta duniani hususani wanapo kutana na watu kama wewe hapo ambao mnahisi kwamba mnaweza kufanya jambo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments