HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA TISINI NA NANE
"Kwanini ulifanya haya?" Alimuuliza kwa sauti kali sana huku akiwa anamtazama mheshimiwa huyo.
"Kwa sababu baba yako alikuwa anaenda kuwa maarufu kuliko mimi, kila kitu alikuwa ni yeye tu pekee hivyo ilikuwa ni lazima nimuue. Ni jambo la kutisha mno ndani ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments