Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)

MTUNZI: FEBIANI BABUYA

EMAIL: [email protected]

WHATSAPP: 0621567672

AGE: 18+

Episode 8

Aliyekuwa akipambana na hao watu alikuwa ni Donald Daniel, waweza kumuita Donny au 001. Huo ulikuwa ni mtihani ambao alikuwa amepewa na raisi ili aweze kukubali kumpa kazi yeye na mwenzake Dax ili kuweza kumlinda ikiwa ni kama maagizo kutoka kwa mkurugenzi wa shirika la …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next