Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)

MTUNZI: FEBIANI BABUYA

EMAIL: [email protected]

WHATSAPP: 0621567672

AGE: 18+

Episode 9

“Meja jenerali Francis Mboye”

“Mhhhhh hapana huyo ni moja kati ya watu ambao nimekulia kwenye mikono yao sasa kivipi unaniambia kwamba yupo kinyume na mimi?”

“Huyo ndiye mtu pekee ambaye mimi nina wasiwasi naye sana mheshimiwa katika kundi kubwa la watu ambao wanakuzunguka na huenda …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next