HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 20
“Kama wewe unafanya nao kazi kwanini wawe na haja ya kumtafuta mdogo wako?”
“Kwa sababu mtu huyu huwa anawaendesha watu kupitia udhaifu wao, udhaifu wa mwanaume ni familia yake au mtu wake wa karibu sana ambaye anampenda sana na ndivyo inavyokuwa. Watu wengi sana wanamtumikia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments