HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 21
Mmoja ambaye alikuwa amebakia ni kama hakuwa akiamini kilichokuwa kinaendelea, yeye na hao wenzake watatu ambapo wawili walikuwa wamekufa tayari na mmoja alikuwa kwenye hali mbaya sana na ni yeye tu pekee ambaye alibaki amesimama akiwa vizuri kabisa, wasiwasi ni kama ulianza kumuingia kwenye nafsi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments