HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 26
BRANDINA.
Historia ya maisha ya Brandina inaanzia huko ndani ya visiwa vya Ukerewe, sehemu ambako ndiko alizaliwa na alikuwa anaweza kupaita nyumbani. Brandina hakubahatika kuwa na baba zaidi ya mama ambaye alikuwa anauza chakula pembezoni mwa ziwa ili aweze kuyaendesha maisha yake pamoja na mwanae …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments