HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 27
Alifika huko akiwa hajui kwamba angeenda kufanya nini, alianza kufanya kazi ya kukaanga samaki na kuuza chakula huku uzuri wake ndio ukiwa mdhamana wake mkubwa wa kupata mtaji kutoka kwa wanaume mafisi ambao walikuwa wanavua samaki. Baadae alibahatika kufungua kimgahawa chake kidogo na haukupita muda …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments