Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Michael wala hakuwa akijua jina lake.

Hakujua kabisa jina la yule binti na bado, kilichoachwa ndani ya moyo wake kilikuwa ni pengo kubwa lisilozibika kana kwamba si tu rafiki wa thamani aliyepotea, bali sehemu ya roho yake ilikuwa imeng’olewa kwa ukatili mbele ya macho yake.

Ms Mekkanan. Ndilo jina pekee alilosikia likinong’onwa mitaani. Hakujua zaidi ya hilo. Huenda hata hatokuja kulijua jina lae lote kamwe.

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next