HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 30
Ilichukua mwezi mmoja tu wanaume hao wakafanikiwa kurudi na majibu. Baada ya mheshimiwa raisi kupata majibu yote alichukizwa sana na jambo hilo kwa sababu wale watu ambao walikuwa wanajulikana kama magaidi, ni kweli walikuwa wao lakini jambo hilo walikuwa wamelifanikisha kwa msaada mkubwa sana wa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments