Dakika au masaa machache nyuma Meneja Mwaipaja aliweza kuzipata taarifa juu ya mabadiliko ya umiliki. Na mmiliki mpya anafahamika kwa jina la Hamza na hata picha yake kusambazwa kwa wale viongozi wa juu ili kumtambua.

Kutokana na kiasi kikubwa cha pesa ambacho kiliwekwa mezani, pesa taslimu zaidi ya dola bilioni moja za kimarekani, bosi mpya ameweza kununua asilimia kubwa ya umiliki wa kampuni …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next