HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 34
“Kazi imefikia wapi?”
“Sumu tayari ipo ya kutosha na ishapakiwa tayari”
“Inafanya kazi kama tulivyo kubaliana?”
“Ndiyo kiongozi” mwanasayansi mkuu alikuwa anajibu kwa hofu sana.
“Unajua kabisa kama ukiniletea uhuni ni kitu gani nitakifanya kwa familia yako”
“Ndiyo ndiyo naelewa ndiyo maana nipo makini sana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments