HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 38
“Sijaja kukuomba, hilo ndilo jambo la msingi ambalo unatakiwa kulizingatia”
“Hata mimi najua kwamba wewe huwa sio mtu wa kuweza kumuomba mtu kwa lolote”
“Na bado unaleta ubishi”
“Mzee nadhani ulishatoka kwenye mifumo ya serikali hivyo utakuwa unaheshimiwa kama mstaafu, kuna kitu gani hasa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments