HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 39
“Max na Bilali wanakutana lini na mpango unatakiwa kuanza lini mheshimiwa” waziri mkuu aliuliza akionekana kabisa kuwa na hamu kubwa sana ya kuweza kulijua jambo hilo.
“Nitawapa taarifa kuhusu hilo lakini na nyie kwa sasa kila mtu anatakiwa kuanza kuifanya kazi ikiwa ni kukusanya taarifa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments