HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 40
“Kuna watu wana uwezo zaidi yangu na miongoni mwao ni watu ambao tunaenda kupambana nao”
“Unamaanisha nini?”
“Hii ndiyo sababu ya kukutana na wewe kwa sababu wote tupo kwenye safari moja ya kuweza kumpoteza Denis Kijazo”
“Sasa nimekuelewa vizuri, umejipangaje juu ya jambo hili?”
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments