HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 45
Baada ya kutoka Masaki usiku wa mapema na kuacha matatizo makubwa ambayo yaliwafanya polisi kufika ndani ya eneo hilo na habari hiyo kuanza kusambaa sana kwenye mitandao ya kijamii, usiku huo huo pembezoni mwa bahari ndiko ambako walikutana kwa ajili ya kikao. Kikao ambacho kilikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments