Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)

MTUNZI: FEBIANI BABUYA

EMAIL: [email protected]

WHATSAPP: 0621567672

AGE: 18+

Episode 46

Wanaume hao walikuwa na silaha kali sana, wakiwa wamefunika sura zao. Walikagua kila eneo kwenye jumba hilo lakini hawakuona chochote kile mwisho wa siku wakaamua kutoka baada ya kumpigia simu kiongozi wao kwamba kwenye nyumba hiyo hakukuwa na mtu yeyote yule. Wakati wanaume wale wanatoka …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next