HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 51
“Mlijua kwamba nitakuja hapa?”
“Yeah”
“Kivipi?”
“Tulikuwa tunabeti tu kama ikitokea mtu huyo akahojiwa basi akuelekeza wewe hivyo ili uje tukukamatie huku na huko ulikotoka watu wako wanauawa bila wewe kuwepo kisha unapewa kesi na kutangazwa kama gaidi na baada ya hapo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments