ENDELEA.............................
“Muda wako wa kukaa hapa umeisha saivi nenda kwako sisi muda wote tutakuwa karibu na popote pale ulipo hakikisha unafanya kama nilivyo kuagiza kama likitokea kosa hata la sekunde mbili tu unakufa hapo hapo” mwanaume huyo alimaliza maelezo yake na kusimama alimrushia spray moja ambayo bila shaka aliijua kazi yake vizuri aliiweka mfukoni hapo hapo alidondoka kwenye hicho kitanda na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments