HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY) MTUNZI: FEBIANI BABUYA EMAIL: [email protected] WHATSAPP: 0621567672 AGE: 18+ Episode 53 “Nasema nasema tafadhali usinifanyie haya yote Max mimi kweli nilikupenda kutoka moyoni ni kazi za watu tu zilinifanya nikafikia hapa” “Nakusikiliza” “Nyuma ya nyumba hii kuna mlango wa chuma na huko unatumia kuhifadhia magari na pikipiki. Namba ya siri ya kufungulia ni namba yako ya utambulisho” “Why?” “Sijui …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments