HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 56
Hao watatu walikuwa ni zaidi ya familia na ndiyo maana mambo mengi walikuwa wakiyafanya pamoja hivyo wenzake kuanza kumuaga aliona kama amepoteza kitu kikubwa sana kwenye maisha yake. Alishusha chozi kuwakimbia watu ambao walikuwa kama mapacha, alipiga saluti ya heshima na kuwakumbatia wanaume hao kisha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments